Paris Saint Germany Yaipiku Dau Manchester United katika mbio za  kuinasa saini ya Neymar kuwa watamlimpa £360,000 kwa wiki.
                                                       NEYMAR DE SANTOS JR

Ndoto za nyota mbrazil Neymar de santos ambaye mkataba wake unaisha wa kuichezea klabu ya Barcelona ya Hispania.

Mshambuliaji huyo anatakiwa kudondosha upya saini yake endapo atataka kuendelea kuitumikia Club ya Barcelona.

uongozi wa barcelona wanataka kumuongezea mkataba mnono kuwa watamlipa zaidi ya £145million kwa mchezji huyo mwenye umri wa miaka 24,kwani amekuwa ni chachu ya mafanikio katika kikosi cha timu hiyo

barca wanataka kumuongezea mkataba mpaka mwaka 2018 lakini Manchester united pamoja na PSG wapo tayari kumsajiri mchezaji huyo na kutaka kumpa kitita.

PSG ndio waliovunja kabati na kutaka huduma ya mchezaji huyo na kuwataka mabingwa wa Laliga wamuachie mchezaji huyo.



Axact

MASHA GMG

Asante kwa kutembelea www.mashagmg.blogspot.com, endelea kuhabarika zaidi kila siku kwa kupata habari,Michezo,Burudani, Music na Video mbalimbali.

Post A Comment: