JOSE MOURINHO ATANGAZA RASMI MATA NA BLIND WATAFUTE PAKWENDA NA KUPENDEKEZA MAJINA YA WACHEZAJI AMBAO ANATAKA WATUE MAN UNITED.
Kocha wa Manchester united jose Mourinho leo amefunguka na kusema Juan Mata na mdachi Daley Blind hawana nafasi katika kikose chake,na kusema watafute pa kwenda, mfumo wa kocha kwenye upande wa ulinzi anahitaji mchezaji mwenye nguvu,mrefu pia anauwezo wa kupiga vichwa yaani kuicheza mipira ya juu,hiivyo kwa upande wa blind kwake ni tatizo hilo kwani kimo kwake ni tatizo. Kwa upande wa Mata alikuwa na Tatizo na jose tangu wakiwa Chelsea hivyo haikuwa na sababu japokuwa mata alikuwa na kiwango kizuri kwenye kikosi cha Luis Van gaal. Jose mourinho ametangaza dau kwa kiungo wa Valencia mwenye uraia wa kireno na kumpa ofa ya £30 million ajiunge na klabu hiyo,kiungo huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akiwaniwa na klabu ya Juventus ya italia na kujihakikishia kuwa watapata saini ya mchezaji huyo.
ANDRE GOMES
Axact

MASHA GMG

Asante kwa kutembelea www.mashagmg.blogspot.com, endelea kuhabarika zaidi kila siku kwa kupata habari,Michezo,Burudani, Music na Video mbalimbali.

Post A Comment: