MTOTO ALIYE NA MAAMBUKIZI YA ZIKA
Shirika la Afrika Dunia (WHO) sasa linawahimiza watu wanaotoka katika sehemu zilizoathirika na virusi vya Zika kuzingatia mbinu za kujikinga endapo mtu anafanya mapenzi ama kujiepusha na ngono kwa muda wa wiki nane. WHO pia imeongeza kwamba wanawake waepukane na kupata mimba kwa miezi sita iwapo mwenzake wa ndoa amekuwa na dalili za virusi vya ugonjwa huo
Wiki iliyopita shirika hilo lilisema hakuna sababu ya kujiepusha na michezo ya Olimpiki mjini Rio mwezi Agosti. Hii inaongezea vigezo vya hapo awali sorce;bbc swahili
Axact

MASHA GMG

Asante kwa kutembelea www.mashagmg.blogspot.com, endelea kuhabarika zaidi kila siku kwa kupata habari,Michezo,Burudani, Music na Video mbalimbali.

Post A Comment: