Msanii wa Bongo fleva kutoka katika kundi la Wasafi ambaye kwa hivi sasa amekuwa ni Gumzo katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya,ambaye ametamba na wimbo wake wa KWETU na kushika chati katika vyombo mbali mbali vya habari.
kumezuka Mzozo kuwa hivi sasa ana BEEF na msanii mwenzake HARMONIZE Tangu alipoachia wimbo wake mpya wa NATAFUTA KIKI.
 Akiongea kwenye kipindi cha 5 Selekt, kinachoruka kupitia EATV, Raymond alisema yeye na Harmonize hawana tatizo lolote na kila mtu anafanya muziki wake.
“Harmonize anafanya muziki mzuri, mimi hiyvo najitahidi kidogo watu wanasema nafanya vizuri.
 Lakini wote tunafanya muziki, Harmonize ana nyimbo zake nyingi nzuri ambazo nazijua ambazo najua watu hawazijui,” alisema Raymond.
na kuhusu mahusiano kati yake na Feza Kessy akajibu ni washkaji tu hakuna kingine kinachoendelea.
Axact

MASHA GMG

Asante kwa kutembelea www.mashagmg.blogspot.com, endelea kuhabarika zaidi kila siku kwa kupata habari,Michezo,Burudani, Music na Video mbalimbali.

Post A Comment: